Sales Automation
 • CRM

 • Point of Sale

 • Sales

 • Subscriptions

 • Rental

 • E-Commerce

 • Inventory

 • Help Desk

  Finance Management
 • Accounting

 • Expenses

 • Approvals

 • Mobile Payments

 • Documents

 • E-Signature

 • Purchase

  Human Resources
 • Recruitment

 • Employees

 • Leave

 • Appraisal

 • Payroll

 • Attendance

 • Timesheets

 • Discuss

  Marketing Solutions
 • Mass Mailing

 • Survey

 • Social Media

 • Forums

 • Project

 • Field Service

 • Email

 • SMS & Text Messages

  Operations Management
 • Inventory

 • Timesheets

 • Project

 • Purchase

 • Helpdesk

 • Field Service

  Production
 • MRP - Material Requirement Planning

 • PLM - Product Lifecycle Management

 • MRP Maintenance

 • Quality Management

  Advanced Planning and Optimization
 • Demand Forecasting

 • Inventory Planning

 • Production Planning

 • Shop Floor Control

  Mobile Retail Execution
 • Proven on-demand mobile retail execution software that is easily configurable to support the specific functions and roles of your retail teams, from your national account managers and distributors to your field reps and merchandisers.


  It span across modern, traditional trade, as well as merchandising activities.

  Van Sales and Direct Store Delivery
 • The solution provides comprehensive workflows for call planning, inventory management, merchandising, route accounting and settlement payments.


  Field reps can plan routes, monitor inventory levels, manage merchandising, collect payments and perform other critical sales activities through mobile devices.

  Field Force Management
 • The solution ensures the right people with the right skills, are at the right job, at the right time—at the lowest possible cost.


  Field employees are equipped with the tools to work faster and smarter while keeping managers better informed to make faster, better and cost-effective operational decisions based on real-time data.

  Distribution Management
 • It improves efficiency and communication btn field teams, operations and distribution centers using cloud-based real-time info. Thr’gh dynamic dashboards and reporting.


  Distributors get access to relevant data, e.g. pricing quotes, orders that link seamlessly with back-office inventory, fulfillment & accounting.

Maadhimisho Ya Viwanda Mkoani Pwani 2018

Mkoa wa Pwani ndio mkoa ulio tengwa rasmi kwa ajili ya viwanda nchini Tanzania, ni mkoa wa viwanda. Takwimu zinaonesha kuwa mkoa huu kufikia mwaka 2018 una idadi ya viwanda vipatavyo 1500(elfu moja na mia tano) vikiwemo vipya vilivyo anzishwa hivi karibuni ambavyo idadi yake yapata 450.

Kauli Mbiu: Viwanda Vyetu Uchumi Wetu.

Wiki ya viwanda mkoani Pwani iliambatana na ziara ya Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu, alipata kutembelea viwanda mkoani huko ikiwa ni mwendelezo wa kuitaka/kuwataka watanzania kuwekeza na kutunza viwanda vyetu vya ndani ili kupatia Taifa pato na kukuza uchumi wetu.

Kilele cha Maadhimisho haya yalifanyika katika viwanja vya sabasaba na kuhudhuriwa na Waziri wa biashara na viwanda hon. Charles Mwijage, wakuu wa wilaya, wawezeshaji na wadhamini pamoja na viwanda mbali mbali vidogo kwa vikubwa, vipya na secta za serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Viwanda na washiriki walipatiwa maeneo/mabanda kwa kuonesha bidhaa na kuweza kutangaza bidhaa zao kama fursa ya pamoja ili kuwezesha kujulikana kwa viwanda hivi.

Hizi zote zikiwa ni juhudi za Rais wetu wa awamu ya tano, Mtukufu Dr. John Pombe Magufuli katika kuhakikisha Tanzania inafikia uchumi wa kati na kuwa nchi ya viwanda ifikapo 2025. Hakika Tanzania ya viwanda Inawezekana.

Katika hotuba ya Makamu wa Rais aliye mwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye maadhimisho haya aliwataka watanzania kujiamini na kulinda viwanda vyetu kwa tukimuunga mkono Rais katika kufanikisha kusudi hili jema kwa manufaa ya nchi/uchumi wetu na vizazi vijavyo. Pia, alisisitiza kuna bidhaa tunaagiza nje aghalabu sisi wenyewe twaweza kuzalisha katika viwanda vya hapa hapa ndani na kupeleka nje pia kuzingatia ubora na umaridadi katika uzalishaji jambo ambalo lingeongeza pato la Taifa..

Singo Africa Limited ilipata fursa ya kuhudhuria maadhimisho haya kwa siku tatu mfululizo kujifunza na kumuunga mkono Rais wetu katika Kuhakikisha Tanzania ya viwanda inawezekana.

Singo Africa Limited pia ilipata kutembelea viwanda mbali mbali katika kutaka kuwafahamisha juu ya matumizi ya mifumo ya tehama kwa ajili ya uendeshaji wa viwanda vyao katika kuwasaidaia kutunza kukumbuku za uzalishajimapato/uhasibumanunuzimauzo na mahusiano na wateja wao. Katika kusaidia hili

Singo Africa Ltd hutoa huduma ya mfumo wa TEHAMA mahususi kabisa kwa ajili ya viwanda na imejikita rasmi kuhakikisha viwanda vyetu vina rekodi(kumbukumbu) nzuri katika kuvisaidia kufanya maamuzi mazuri kwenye nyanja zote zikiwemo za ukuaji, maendeleo na kustahimili katika soko.

Tanzania ya viwanda inawezekana kabisa huku tukiamini viwanda vyetu uchumi wetu bila kusahau matumizi mazuri ya TEHAMA (Software) madhubuti kwa ajili ya viwanda.

Kwa wamiliki wa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa, kipya au endelevu Singo africa Ltd ipo tayari kukusaidia katika kuhakisha unakuza biashara yako na kupanua soko katika zama hizi za Teknologia.